Friday, May 18, 2012

UJENZI WA BARABARA KWAAJILI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM .


Ujenzi Wa barabara kwaajili ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea katika maeneo ya ubungo kuelekea kimara na mbezi ikiwa ni sehemu ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kasi ambapo ujenzi huu unafanyika karibia maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment