Tuesday, June 26, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO HII


 
Zitto Kabwe akiuliza  swali dogo la nyongeza ''kuwa toka tupate uhuru hajawahi sikia Mkuu wa Majeshi (JWTZ) akitoka upande wa pili wa Muungano Je ni kwanini ?

Waziri wa Ulinzi  Shamsi Vuai Nahodha akamjibu '' kuwa hilo ni suala la wakati kwani hivi sasa kuna majenerali wanne wako makao makuu huenda huko mbele mmojawapo akapata bahati hiyo.

Lakini akaaamsha chereko na makofi kwa wabunge pale aliposema kuwa hata yeye anajiuliza ni lini ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mwenyekiti wa chama atatoka Kigoma ?

Baada ya hapo kama kawaida ikawa ni kugonga meza kwa furaha na vigelegele Bungeni
hali iliyomfanya Mwenyekiti anaeongoza kikao asbuhi hii kuingilia kati.
Mbunge wa Kikawajuni, Massauni Yusuf Masauni akichangia mjadala wa Hotuba ya Ofisi ya Waziri ya Bajeti ya Mwaka 2012/13, akizungumzia mikakati mablimbali inayotakiwa kundelezwa na Serikali likiwamo swala Vyuo vya Ufundi VETA vimesadia sana kutoa ajila kwa vijana ingawa swala kwa vija bado linaumiza vivwa watu

No comments:

Post a Comment