Friday, June 22, 2012

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, (katikati)  na Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (kulia) nje ya viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa  (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini  Dodoma, leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto)  na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment