Stanboi the African Child akiwa ndani ya chumba chake powder room kabla ya kuwasha moto usiku huu ndani ya Bang Cruise.....ndani ya Michigan Lake.
Stanboi akiwa ametulia akipanga mikakati ya aingie na kibao gani hili aweze kukonga nyoyo za wapenzi watakao jitokeza kwenye Bang Cruise hiyo.
Hapa
kushoto ni mwenye na mratibu wa mpango mzima wa Bang Cruise hiyo Peter
Bang aka Mzee wa Bang, Na Stainbo wakionesha harama za amani |
No comments:
Post a Comment