Boat ambalo lilitumia na watanzania wa hapa Minneapolis Minnesota kusherekea sherehe ya saba saba kwaiyo, watanzania walikuwa ndani ya boat hili kwa zaidi ya masaa 5 kula kunywa na kucheza rumba kuanzia saa tatu usiku hadi saa saba usiku. Music ukingurumishwa na madj bora kabisa wakiongozwa na Dj Denis wa Funk House. Sherehe hizo za saba saba zilianzaia tarehe 6 kwa kuwa na fashions show zilizo kuwa zina fanywa na Asya Khamsin pamoja Hilda Mauya, na Jumamosi tarehe 7 ndo kulikuwa na boat ride, na tarehe 8 ni BBQ hiyo yote ni kusherehekea sikuku ya saba saba. Picha za matukio yote yalirushwa live na Ny Ebra mwakirishi wa Blog Vijimambo.
Wadau wakielekea kwenye boat tayari kwa kusherehekea saba saba |
Alie kuwa na wake mambo ya likuwa kama hivi, hiyo yote ni mambo ya saba saba hayo.
Watu wakionekana na smile wakielekea kwene boat tayari kwa safari ya kuzunguka kwenye maji kusherehekea saba saba
Ukodak wa vijimambo kila mtu aliweka pozi lake
warembo na sare sare katika pozi mbele ya camera ya vijimambo
Smile mbele ya camera ya vijimambo kabla ya kuelekea kwenye boat
Dj Denis kushoto akiwa na mama mwenye nyumba wake katikati, na pembeni kulia ni mdau katika ukodak wakielekea kwenye boat, |
Walimbwende wakipata picha ya pamoja huku wakielekea kwenye Boat katika sherehe za Sabasaba zilizofanyika Twin Cities Minnesota Jumamosi July 7, 2012.
Wadau wakipata picha ya pamoja.
Mzee wa Oldschool katika ukodak moment.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment