HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, August 5, 2012
MAMA KARUME AWAAPISHA VIONGOZI WAPYA YANGA
Tunatakiwa
kushikamana na kuwa wamoja. Ndivyo alivyosema Mama Karume wakati
akizungumza na viongozi wapya wa Yanga kabla ya kuwaapisha.
Mama Fatume Karume akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa huku Mzee Jabir Katundu akiwasikiliza.
Mzee Jabir Katundu akimuongoza Mussa Katabalo kula kiapo cha uaminifu cha kuitumikia Yanga
Yussuf Manji akila kiapo akiongozwa na Mzee Jabir Katundu
Mama Fatuma Karume akimpongeza Manji baada ya kula kiapo
Mama Karume akiwa na viongozi wapya wa Yanga baada ya kuapishwa
Kijana mi nakwenda, kazi kwako, sitaki kusikia mambo yanakwenda mrama.
Ndivyo Mama Karume alivyokuwa akimueleza Manji wakati wakiagana. (Picha
zote na Emmanuel Ndege wa blogu ya liwazozito)
No comments:
Post a Comment