Wednesday, August 1, 2012

Mwanafunzi Akipakizwa Katika Gari la Polisi Baada Kuvunjwa Maandamano ya Kuelekea Kwa Mkuu wa Wilaya Kindononi



 Mwanafunzi akipakizwa katika gari la Polisi baada kuvunjwa maandamano ya kuelekea kwa Mkuu wa Wilaya Kindononi kwa Wanafunzi kutoka shule za Msingi za Mtongani,Kunduchi,Mtakuja na Wazo kushinikiza walimu warudi kazini baada ya kusambaratishwa na Polisi katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment