![]() |
Hapa ndiyo panapo endeshwa bunge la jamuhuri ya muhungano wa Tanzania huko Dodoma nijengo la kisasa kabisa katika mji huu wa Dodoma. |
![]() |
Mji wa Dodoma unavyoonekana na unaweza kuliona jengo la Bunge kwa mbali linavyo upamba mji wa Dodoma yetu. |
![]() |
Hapa ni Tabora dowtown unaeza jionea barabara ni tambarare eneo la downtown |
![]() |
Hapani usingidani na hili ni Lake Singida ziwa linalo upamba mji huu wa Singida, Kwa wale wenyejin wa miji hii wamefurahi kuona na inawafanya wakumbuke waliko toka.. |
No comments:
Post a Comment