Hapa ni Cisse na Ba wakionaesha imani ya waislam waliyonayo.
![]() |
| Nuri Sahin - Mchezaji wa Real Madrid na Uturuki |
![]() |
| Bilali Ahmed maarufu kama Frank Ribery akiwa na mchezaji Hamit Altintop walipoenda Makka |
![]() |
| Samir Nasri na utukutu wake wote mwezi huu yupo ndani ya mfungo |
![]() |
| Karim Benzema |
![]() |
| Hatem Ben Arfa - Kiungo wa Newcastle na Ufaransa nae nafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani |
![]() |
| Mesut Ozil - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki |
![]() |
| Samir Khedira - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tunisia. |
![]() | ||
| Abdulsalaam Bilal maarufu kama Nicolas Anelka akiwa na mashekhe alipoenda hijja huko Makka |
![]() | |
| Bilal Abidal - maarufu kama Eric Abidal akisoma Quran akiwa kwenye ndege wakati akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka jana. |
![]() |
| Anaitwa Ibrahim Affelay mchezaji wa kimataifa wa Barcelona na Uholanzi |
HII NI VIDEO INAYOMUONYESHA THIERRY HENRY AKITHIBITISHA KUBADILI DINI NA KUWA MUISLAM AKIFUATA MFANO WA RAFIKI ZAKE ANELKA, NA ABIDAL.














No comments:
Post a Comment