Monday, August 27, 2012

UFUNGUZI WA TAWI LA CCM DMV ULIVYO FANA

 MH. Abdulrahman Kinana kutoka Tanzania ndiyo alikuwa mgeni rasmi katika shughuri hizo ha kama anvyo onekana akiingia ukumbini kwa shangwe na vifijo kitoka kwa anachama waliojitokesha ukumbini hapo.
Mwenyekiti wa tawi la CCM, DMV Loveness akitoa maneno mchache na kumkaribisha mgeni rasmi ukumbini hapo.
 
 
 Kama unavyoona bendera ya chana juu kuashiria furaha na nguvu ya chama tawala duniani kote ambako watanzania wanapatikana bado wanajivunia CCM.
 
 
Bwana Maftah mwenyekiti wa tawi la CCM New York akisoma lisara kwa MH. Mgeni rasmi Abdularahman Kinana kabla ya kuanza kuongea mawili matatu ukumbini hapo.
 
 
MH. Abdulrahman Kinana akiongea machache mbele ya wanachama wa CCM waliojitokeza ukumbini hapo kuja kufanikisha ufunguzi wa matawi, ufunguzi wa matawi huo ulihusisha sehemu mbali mbali na kuhuzuriwa na viongozi wa matawi hayo kutoka sehemu zao, Kama kutoka New York, North Carolina, Minnesota na Texas.
 


 Meza kuu ikiwa na viongozi kutoka sehemu mbali mbali pamoja na mgeni rasmi Mh. Abdulrahman Kinana. Na mlezi wa tawi la CCM, DMV na mweyekiti wake Loveness.
 
 
Picha ya pamoja na viongozi wote wa matawi