Tuesday, September 18, 2012

FLAVIANA MATATA NI MTANZANIA ANAFANYA VIZURI KATIKA NYANJA ZA UMODEL HAPA AKIWA KAZINI UKO LONDON


ews
5
Hii ilikua ni kwenye show ya Philiph Treacy hivi karibuni ambapo Mwanamitindo mtanzania Flaviana Matata na wenzake walivaa nguo halisi zilizokua zikivaliwa na marehemu Michael Jackson, kwa ufupi ni kwamba hizi nguo zimetoka kabatini mwa MJ.
Kwenye hii show mwimbaji staa Lady Gaga alikuepo pia.