Tuesday, September 4, 2012

MAANDALIZI MISS UTALII TANZANIA YATINGISHA MSASANI BEACH, WAREMBO WACHUANA MAPOZI YA UFUKWENIMISS UTALII ILALA NA KINONDONI2012 KUWASHA MOTO JUKWAA MOJA LAMADA HOTEL TAREHE 7/9/202 VOPAJI NA TAREHE 14/9/2012 FAINALI.BENDI YA FM ACADEMIA KUONYESHANA KAZI NA T MOTO TAARABU
 
Miss Utalii Ilala 2012 na Miss Utalii Kinondoni 2012 zitafanyika kwa pamoja terehe 14-9-2012 kuanzia saa 2.30 usiku katika ukumbi wa Hoteli ya kitalii ya nyota tatu Lamada Hotel iliyolo Ilala Boma karibu na Msimbazi Centre.Viingilio VIP Sh. 30,000 /= viti vya kawaida Sh. 10,000/=

Shindano hilo litatanguliwa na shindano la vipaji litakalo fanyika tarehe 7-9-2012 kuanzia saa mbili usiku hapo hapo Lamada Hotel kiingilio  vip Sh.20,000/= na kawaida Sh. 10,000/=.Burudani za Ngoma za Asili,Bendi ya FM Academoa na Bendi ya Taarabu ya T Moto zitakuwepo.
 
Wadhamini wa Shindano hili ni pamoja na Lamada Hotel,Rashid Sports Entertainments,Mzee Yusuph Enterprises,Zizzu Fashion,Essy Media,Pandisha Import,Tambaza Court Broker and Action Mart,Dar Es Salaam City Collage, Geita Gold Mine Limited,Travel tine Hotel,www.misstourismorganisation.blogspot.com,Eriado point View,Stanford Bridge Institute of Journalism,Community Development and Business Studies,Times Radio 100.5 FM,Uhuru FM,Gabriel Designer,Hameed Designer,Jambo News Papers na Business Times Limited Valey Spring,Daja Salon,Jambo Nuws Papers,Cloble publisher
Asante,
Yelemia Mayenga
Mkurugenzi Miss Tourism Tanzania Organisation – Dar es Salaam