Wednesday, September 12, 2012

MDAU TAFAKARI NA HII PICHA, NANI HANA HABARI ZAIDI?


'SINA HABARI', Dereva wa Bodaboda akipakia abiria katika njia panda ya taa za kuongozea magari za Daraja la Sulender jijini Dar es Salaam, leo tene mbele ya askari wa usalama Barabarani, ambaye anaonekana kuwa bize na mazungumzo katika simu yake ya mkononi. 
Pikipiki hiyo ina ujumbe usemao 'SINA HABARI' na kitendo hiki cha kufanya hivi mbele ya askari je ni kweli hana habari au hana elimu ya usalama barabarani? na Je ni nani kati ya Dereva na Askari ambaye anaonekana kutokuwa na habari zaidi ya mwenzake?....