Friday, September 7, 2012

MSAFIRI KAFIRI


 
Hii ni wiki ya ndenda kwa Usalama kwa mkazi huyu wa Mkoani Tabora kupakia watoto hawa katika stile ya Mshikaki kama walivyonaswa na camera ya JIACHIE Blog katika moja ya mitaa ya mji wa Tabora hii leo sidhani kama anajali usalama wa abiria wake katika barabara hiyo ya lami, ni vyema watumiaji wa vyombo vya usafiri na hata waenda kwa miguu kuhakikisha usalama wetu kwanza.