Monday, September 24, 2012

PINS AND DIAPER YA JACKIE KORASSA MARYLAND


 

Jackie katika ukodak moment wakati wa bash lake la Pins and Diaper lililofanyika Jana 9/22/12 huko Bowie Maryland.
 Jackie akiwa amepozi na pacha wake anayeitwa Mrs. Carolyne Korasa Mwaijage kwenye bash lake la Pins and Diaper lililofanyika Jana 9/22/12 huko Bowie Maryland.
Baadhi ya wanakamati waliofanikisha bash la Pins and Diaper la Jackie lililofanyika Jana 9/22/12 huko Bowie Maryland.

 Mchungaji Shideko akitoa neno la baraka kwa ajili ya kumbukumbu na shukurani ya marehemu baba mzazi wa Jackie.
Kaka yake na Jackie aitwae Mr. Peter Korassa akiwa na mama mwenye nyumba wake aitwae Mrs. Jacquiline Kejo Korassa ambao wametoka Tanzania kwa ajili ya bash la Pins and Diaper la Jackie lililofanyika Jana 9/22/12 huko Bowie Maryland.

 Ndugu na marafiki wa Jackie ambao wengi wao wametoka Tanzania kwa ajili ya shughuli ya Jackie.

 Mr. William Mwaijage akipata ukodak moment na mama mwenye nyumba wake na shemeji yake Jackie kwenye bash la Pins and Diaper.
 Baadhi ya wadau walioudhuria.
 Baadhi ya wadau walioudhuria. 

 Baadhi ya wadau walioudhuria. 

  Baadhi ya wadau walioudhuria.
 Jackie akiwa na pacha wake na kaka yao kwenye bash la Jackie.

Kaka wa Jackie Mr. Peter Korassa akiwa na Mr. Andrew Kapunga.

Picha zaidi zitafuata baadaye.