Monday, September 10, 2012

SIMU MKONONI MTOTO SAKAFUNIPeaches Geldof and Astala
Simu ilikuwa muhimu zaidi ya mtoto kweli kazi hipo hapa....
Peaches Geldof and Astala
Simu sikioni mtoto chini jiulize huyu dada kulikoni??????ni mahongezi gani hayo ambayo yalikuwa muhimu zaidi ya malaika mwenye umri wa miezi 4 anaieitwa Astala mtoto wa Peaches Geldof mke wa Tom Cohen, nani wakulaumiwa hapa barabara au huyu dada?. mambo haya yalitokea mitaa ya East London uko kwa wakoloni.