Tuesday, October 2, 2012

HAWA NDIO WATANGAZAJI WAPYA WA 106 & PARK YA BET, RAPPER KALA SHAVU.
Rapper Bow wow ametangazwa kwenye list ya watangazaji wanne wapya wa show ya 106 &Park ya BET ambayo mwanzo ilikua inafanywa na Terrence J na Rocsi.

Bow wow amesema anazoplan za kuendelea na kazi yake ya muziki pamoja na uigizaji lakini kwa sasa nguvu zake anazipeleka kwenye kazi yake mpya kwanza ya 106 & Park ambayo kwa sasa itakua inafanywa na watangazaji wanne ambao ni Detroit Hot 107.5 radio DJ’s Shorty Da Prince and Paigon, mwimbaji Miss Mykie and Bow Wow.


.