Monday, October 22, 2012

KUTANA NA MISS MIRIAM NTAKISIVYA ALIYEJIKITA KUBUNI MAVAZI BAADA YA KUSHINDWA KTK KINYANG'ANYIRO CHA MISS TMK 2012



JINA KAMILI NI:- Miriam Ntakisivya 
UMRI:- (21 ) 
ELIMU :- Chuo
HOBIES:- Mwanamitindo, Burudani
MATARAJIO:- Kuwa mbunifu na Mwanamitindo wa kimataifa
ANAPATIKANA KATIKA:- kijamii kama facebook Na Twetter kwa jina la Riam Ntakisivya
MAVAZI HAYA PICHANI: Ameyabuni yeye mwenyewe
NDOTO ZAKE:- Ni Kufanya vizuri na kufika mbali


Usikose kesho kufuatilia ubunifu wa Mwanamitindo huyu chipukizi katika aina nyingine ya mavazi, Party II.

No comments:

Post a Comment