Wednesday, October 3, 2012

MISS TANZANIA 2012;ANGALIA PICHA ZA WAREMBO 30 ZA MISS REDS 2012 WAKIWA KAMBINI LEO HII;

 
Warembo wa Redds Miss Tz wakiwa katika hatua za awali kambini Giraffe Hotel wakiwa kwenye kupata chakula cha mchana.
 

Warembo wa Redds Miss Tz wakiwa katika hatua mbalimbali za maelekezo katika kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Giraffe hapa mmoja kati ya wafanyakazi wa Hotel hiyo bwana James Philbert akitoa maelekezo ya namna ya kutuma vifaa mbalimbali na ratiba ya chakula kwa kipindi chote watakapo kuwa kambini hapo.