Wednesday, October 10, 2012

PREZZO THE AMBASSADOR WA ONE CAMPAIGN

 Prezzo kama anavyojulikana na wa2 wengi Africa mashariki ni mshindi wa 2 wa BBA na amepata nafasi ya kuwa Ambassador wa One Campaign na yupo USA katika miji ya New York na DC.Amekuja kukutana na team mzima ya One Campaign na moja kati ya hiyo team kuna Jay Z ambae amesha kutana nae na kuongea nae juu ya swala zima la yeye kuwa Ambassador wa One Campaing kutoka Kenya Africa. Licha ya kuongea nae alipata nafasi ya kuhuzuria live concert yake ambayo ilifanyika ndani ya uwanja wa basketball unaomilikiwa na yeye mwenyewe uko Brooklyn, NY.