Wednesday, October 3, 2012

VAZI FUPI LINA RAHA YAKE HASA UKIWA NA UMBO LA KUVALIA HAPO JE?

Kila mwenye kujijua ana umbo na ngozi yakuvutia kuva vazi fupi kuna raha yake.  Taswira ya picha hizi za warembo katika hapa na pale ya viji. Hapa alikuwa anatafutwa alie bamba zaidi usiku huo na vazi hilo lisilo vuka magoti.