Thursday, October 4, 2012

wanajumuiya Adela Mwakasekele amefiwa na babaMwanajumuiya Adela Mwakasekele amefiwa na baba yake mzazi Tanzania, Mzee Akagwire Peter Mwakasekele (70) alifariki dunia Septemba 26, 2012 na alizikwa 28 Septemba mjini Kyela, Mbeya tanzania.

Unaombwa ufike kwenye Ibada maalum ya Shukrani itafanyika 

Jumapili Oktoba 7th, 2012,

Anuani:   4 River road, Roosevelt Island, New York, 10044.

time:  2pm until

Mchungaji Mama Butiku ataongoza sala. Tafadhali fika mapema.
Kwa atakae leta kinywaji  kina baba, piga simu Ebra 1(347)475-4313 au Shabani 1(347)712-8539

Kwa kina mama wasiliana na Brenda 1(917)627-7249 au Mary 1(917)442-4807 

Ahsanteni


Shabani Mseba
The Secretary  i.e