Friday, November 9, 2012

CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA AFYA YA JAMII MNAZI MMOJA


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Muhimbili Dkt. Marina Njelekela wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo ,mgeni rasmi akiwa Mama Kikwete .
Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa Risala wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa Jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo akiwa Mgeni rasmi.
Baadhi ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .
Baadhi ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya kwa Jamii akiwa mgeni rasmi jijini Dar es Salaam leo .


Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma KIkwete kulia na Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA) Dkt Sarafina Mkuwa wakijadiri kitu wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo .
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika foleni ya kwenda kupima Afya zao viwanja vya mnazi mmoja hunduma hiyo ni bure iliyoandaliwa na chama cha madaktari wanawake Tanzania (MEWATA)
Daktari bingwa wa macho kutoka hospitali ya Taifa muhimbili Bi.Celina Mhina akimpima macho mmoja wa wazee walioathirika na macho.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakisubiria kupata huduma ya macho kwenye viwanjavya Mnazi Mmoja.PICHA ANNA ITENDA WA (MAELEZO) NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment