Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake, NYTC (Board na Executive Committee), wanafurahi kuwaalika Watanzania wote wanaoishi New York na Vitongoji vyake, kwenye sherehe ya kuwakaribisha MH. Balozi Manongi na Naibu Mwakilishi Balozi Ramadhan Mwinyi, viongozi wapya wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York, pia kumshukuru Dr. Seruhere aliyekuwa Naibu Balozi wa muda na Mlezi wa NYTC.
Sherehe hii itafanyika Jumamosi, tarehe 1 December kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku kwenye ukumbi wa:
Holy Trinity Greek Orthodox Church10 Mill Road
New Rochelle, NY 10804
Wote mnakaribishwa.
Tunaomba mchango wa dola 25 kutoka kwa kila mtu, na wanafunzi dola 10 kwa ajili ya gharama ya shughuli nzima.
Huu mchango upelekwe kwa wafuatao kabla ya terehe 20 November 2012, Receipts za mchango zitatolewa .
Miriam Abu (914) 316-2814
Amir Kius (201) 450-5129
Catherine Kyauka (201) 562-2890
Shabani Mseba (347( 712-8539
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Uongozi wa NYTC.
Safikabisa tutahudhuria.
ReplyDeleteKwa kweli nikitu kinacho make sense sio BBQ ambazo azina mhelekeo wowote .
ReplyDeleteKaribu Balozi Manomgi Wana NY tukopamoja nawe.
ReplyDelete