Thursday, November 1, 2012

RAIS BARAKA OBAMA ATEMBELEA MAHENO YALIYO KUMBWA NA DHARUBA LA HURRICANE SANDY



Rais Baraka Obama akimfariji mmoja kati ya wahasirika wa hurricane sandy kwa kumpa warm hug katika ziara yake ya kutembelea maheneo yaliyo hasirika  na hurricane sandy Uko New Jersey.Support: President Obama holds North Point Marina owner Donna Vanzant close as he tours damage done by Superstorm Sandy in Brigantine, New Jersey. New Jersey Governor Chris Christie (left) stands with them

Hapa Rais Baraka Obama akiwa na Gov wa New Jersey Chris Christie punde tu baada ya kuwasiri uko New JerseyAerial view: The President saw how homes in Seaside Heights, New Jersey, have become surrounded by water after Superstorm Sandy lashed the Atlantic Coast
Nyumba zilizo hasirika na hurricane uko New Jersey zimebakiwa tupu baada ya watu waliokuwa wanahishi umo ndani kukimbia makazi yao na kuziacha nyumba na mali zao ndani.
Ripped apart: During the helicopter tour, the President was shown how Superstorm Sandy tore away part of the Mantoloking Bridge in New Jersey

Daraja likiwa hoi bin taabani baada ya kuzidiwa na maji ya hurricane sandy na kusababisha mawasiria ya pande hizo mbili kuwa utata

Up in the air: The Marine One helicopter, carrying President Obama and New Jersey Governor Chris Christie, takes an aerial tour of the Atlantic Coast in New Jersey
Rais Baraka Obama akizungukia maheneo yaliyo kumbwa na dharuba hilo la hurricane kwa kutumia ndege ya kijeshi, hili kujionea maheneo yote yaliasirika na kutoa pole kwa wananchi wa maheneo hayo.

No comments:

Post a Comment