Friday, November 23, 2012

THANKSGIVING PARTY NEW YORK

 Baadhi ya vinywaji ambavyo vilikuwa vinapatikana katika party hiyo, kulikuwa na konyagi. Serengeti, na Kilimanjaro bia.
 Dj Bilal akiwa nyuma ya machine zake za u Dj akiwarusha watu waliojitokeza katika bush hilo lililo fanyika nyumba kwa Fundikombo Long Island, NY watu walijitokeza katika party hiyonwali enjoy music ulio kuwa umetanguliwa na chakula lizuri kabisa kilicho kuwa kimeaandaliwa na Fundikombo na mama mwenye nyumba wake siku hiyo ya thanksgiving.
Kama unavyo ona watu wakijivinjari kwa midundo ya kibongon kutoka kwa Dj Bilal. 

No comments:

Post a Comment