Monday, January 28, 2013

AKINA MAMA WASHINGTON DC WAMUAGA MHESHIMIWA BALOZI MWANAIDI MAAJAR

 HE. Balozi Mwanaidi Maajar akiongea mbele ya sherehe ya kumuaga iliyo kuwa imeandaliwa na jumuiya ya akina mama Washington, DC.

 Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Sanare Maajar akipata ukodak na mumewake
 Wageni kutoka North Carolina wakiwa katika sherehe hiyo

 Ndugu Hajji Khamis kutoka mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania wa New York nae alikuwepo kwenye sherehe hizo.
 Dr Mariam Abu makamu katibu wa jumuiya ya watanzania wa NYC akipatam ukodaki pamoja na mchumba wake.
 MH. Balozi akipata ukodak pamoja na Afisa Ubalozi Washington, DC pamoja na familia ya afsa huyo