Sunday, January 6, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SINGIDA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akiwaelezea masuala muhimu ya maendeleo nchini.Rais Kikwete amewasili Mjini Singida Januari 5 kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili

No comments:

Post a Comment