Saturday, February 2, 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akichangia hoja katika Bunge- Dodoma.
Mussa Zungu Azzan (ILALA) na Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah (kulia) wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia), Mwingulu Nchemba (katikati) , na Vick Kamata (Viti Maalumu ) kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja Bungeni – Dodoma.
Mbunge wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia na kuunga mkono hoja ya Mbunge wa Nzega Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo ya Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo. PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO JUMAA- MAELEZO.