Sunday, February 3, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE ATUA KIGOMA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM

Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kigoma jioni hii,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Wananchi lukiki wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kumpokea Rais Jakaya Kikwete leo.nyuma yao ni Ndege ya Rais ikiwasili.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibwa wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.


Mwenyekiti wa Chama cha 
Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu CCM,Abdulrahman Kinana wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa 
Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya 
Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho 
kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.Wa tatu kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,Phillip Mangula.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu kutoka kwa vijana wa Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma,wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM mkoani Kigoma.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma kumlaki.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM CCM,Nape Nnauye.


Baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali wakiwa tayari kumpokea Rais Jakaya Kikwete.


Kutoka kulia ni Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye,Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha - Rose Migiro na Katibu wa NEC,Oganaizesheni,Dkt. Mohamed Seif Khatib.


WanaCCM wakiwa uwanjani kumpokea Rais Kikwete.


Burudani.
Rais Kikwete akisikiliza swali lililokuwa likulizwa na Mwandishi wa Habari wa Radio Uhuru,
Msafara wa Rais ukipita barabarani.
Rais Kikwete akiwapungia wananchi.
Wanahabari waliopo mkoani Kigoma tayari kwa kuripoti Maadhimisho ya Miaka 36 ya CCM,wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ajili ya kukava tukio la kuwasili Rais Jakaya Kikwete Mkoani Kigoma.
Picha na Ikulu.