Wednesday, February 6, 2013

STARS NA CAMEROON KATIKA PICHA LEO TAIFA, ILIKUWA FULL SHANGWE

Mbwana Samatta wa Tanzania akifunga bao baada ya kumlamba chenga kipa wa Cameroon, Efalla Komguep katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu hizo jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania, Taifa Stars ilishinda 1-0.
Beki wa Stars, Erasto Nyoni akimtoka beki wa Cameroon, Assou Ekotto
Thomas Ulimwengu akiwa ameruka juu na kipa wa Cameroon, Efalla Komguep kuwania mpira wa juu
Mbnwana Samatta akipambana na mabeki na kipa wa Cameroon
Kiungo Frank Domayo wa Tanzania kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Cameroon, Nyom Allan
Wachezaji wa Tanzania wakishangilia bao lao lililofungwa na Samatta waliyemdandia
Wa Mazembe, si wazembe; Thomas Ulimwengu akimpongeza mshambuliaji mwenzake wa TP Mazembe ya DRC, Mbwana Samatta kuifungia Stars leo 
Kikosi cha Cameroon leo
Kikosi cha Stars leo
Samatta akimfunga tela Ashu Clovis
Thomas Ulimwengu akiwalamba chenga mabeki wa Cameroon
Beki Shomary Kapombe akitia krosi huku beki wa Cameroon, Nyom Allan akiipisha
Beki wa Cameroon, Aminou Bouba akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto
Hapa ndipo Stars ilipopata penalti, beki Ngoula aliupitia mpira miguuni mwa Samatta akitokea nyuma ndani ya eneo la hatari
Beki wa Cameroon, Assou Ekotoo akimiliki mpira mbele ya kiungo Mrisho Ngassa wa Tanzania
Ekotto akimiliki mpira mbele ya Ngassa
Beki Pierre Wome wa Cameroon akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Samatta, huku Ekotto kulia akiwa tayari kutoa msaada

No comments:

Post a Comment