Monday, March 18, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA TEHAMA VETA KIPAWA DAR ES SALAAM LEO

Rais Dkt.Jakaya Mriusho Kikwete,Waziri wa Elimu dkt.Shukuru Kawambwa(kulia) na Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa(kulia),Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung (wapili kulia),Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik(Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Injinia Zebadia Moshi (kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo Cha TEHAMA VETA huko Kipawa jijini Dar es Salaam leo .Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment