Wednesday, April 24, 2013

NDANI YA BONGO MAISHA TAMBARALE



Hizi ni nyongeza nyingine muhimu katika sura ya Jiji la Dar es Salaam. Jengo lenye column ya blue ni la Utumishi, na ile nguzo kule mbele ni Nguzo ya kuongozea meli wakati zinaingia au kutoka bandarini 
Ni ile iliyokaribu na mnara wa askari
Mnara wa askari, 
Wamaasai na mila zao Jiji la Dar.Kwa taswira zaidi ya jiji la Dar.....bofya Read more Home sweet home...
UHURU TOWER -Jengo moja zuri sana lingali bado lajengwa ... ni katikati ya jiji la Dar es Salaam. Naona wachina wamekula tenda na wanakimbiza.
Ppf tower 


Shoppers Plaza

Peugeout House
INTER HOUSE Kijitonjama
Millenium Tower Kijitonjama
Mlimani City hiiMlimani city kwa njee

Makutano ya pale nyumba ya sanaa

Soko kuu la Kariakoo
Stanbic Bank KinondoniUsafri rahisi ukiwa Dar...kwajina bajaj 
Na hizi ni Boda boda

TCRA along Samjom Rd

Bado lina mvuto wa kipekee na linashikilia historia katika majengo ya katikati ya mji wa Dar.

Hoteli ya Holiday Inn, maeneo ya posta mpya.
Maeneo ya posta mpya mida ya mchana.
Dariri ya mvua na kukinyesha angaria madhara yake hiyoo ndiyo bongo.





No comments:

Post a Comment