Wednesday, April 3, 2013

PITA PITA YA FUNDI WA KOMBA BONGO MJINI


 Mdau NY Ebra na mtoto wake Faudhia Ebra, wakisaidiana kukata keki wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mdau NY Ebra, aliyetua Bongo hivi karibuni akitokea Jiji la New York, kwa ajili ya kufurahia siku hiyo na washkaji zake, jijini Dar. Hafla hiyo inaendelea hivia sasa maeneo ya Sinza Parestina na washkaji kibao, huku wakirushwa na Dj Fid Q kwenye One na Two. 
 NY Ebra, akimlisha keki mtoto wake Faudhia.....
 Washkaji wakipozi kwa 'Snap' na Mdau Ebra wakifurahia kukata keki.
 Mtoto Faudhia, akimlisha keki baba yake mzazi, Mr Ebra......
Wengine wakijiandaa kula keki, pembeni ni Mtoto Faudhia akisebeneka kwa furaha ya kumuona baba yake akifurahia siku ya kuzaliwa.
 Wadau wakilishwa keki....
 Mdau, Ebra akipozi kwa 'Snap' na washkaji.....na mmiliki wa mtandau huu wa Sufianimafoto na wengineo....
 Ilikuwa ni furaha tu....
 Mdau Ebra, akiwalisha keki wageni waalikwa......
Akiendelea kuwalisha keki wageni waalikwa....

No comments:

Post a Comment