
Pia bwana Busimwa anadai kinyume na taarifa zilivyo kikosi cha jeshi la Tanzania kikiwa na askari 450 kimesha ingia mashariki ya CONGO kwenye mji wa UVIRA SOUTH KIVU huku Kamanda wao (TPDF) akiwa mjini Goma. kikosi cha jeshila SOUTH AFRICA kiko mita 20 kutoka waasi walipo kwenye mji wa MUNGI nje kidogo ya GOMA. Pia aliwaeleza wananchi hao kuwa kuna makomandoo 30 wa jeshi la Ufaransa ambao wako mjini GOMA wamefikia Linda Hotel, BUSIMWA alidai wafaransa ndio walisimamia mauaji ya kimbari ya rwanda kwahiyo kuwepo kwao ni ishara mbaya kwa wakazi wa mashariki ya CONGO ambao wengi ni watusi.
No comments:
Post a Comment