Sunday, June 23, 2013

KWA KAULI YA PINDA , TUTAPONA KWELI KWA HAWA JAMAAAA

Wanajeshi wakitoa kichapo huku mwingine akiwa ameninginizwa kama swala na wawindaji porini..
Angalizo....picha hii nimeikuta mtandaoni inawezekana sio ya Tanzania......mmh mwenzangu nisije ninginizwa na mimi...

No comments:

Post a Comment