
Huyu ndio mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea (Picha na Global Publisher)
Hapa ndipo mwili wa msanii NGWEA ulipopumzishwa.

Hakika kifo cha msanii Ngwea kimekuwa kipimo kikubwa cha kuonyesha jinsi msanii huyu alivyokuwa akikubalika katika sanaa ya muziki wa kizazi kipya. Hakika tutakumiss sana Ngwea kwani leo nimekuwa nikisikiliza nyimbo zake ambapo moja wapo ni ule wimbo wa"Speed 120" ambapo aliimba.... "hata nikifa leo, pengo langu halina spear".
No comments:
Post a Comment