Thursday, August 8, 2013

AIBU: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUMBUKA BAADA YA KUTUPIA PICHA YAKE YA UCHI FACEBOOK WALL BILA KUJUA


Mwanafunzi wa chuo kimoja hapa nchini ameambulia aibu ya mwaka baada ya picha zake chafu kuvuja katika mtandao wa facebook wakati "akichati" na darling wake.....

Katika mazungumzo yake na mpenzi wake, denti huyo alijikuta akikosea kumtumia picha mpenzi wake na kujikuta akiiweka katika wall yake huku ikisindikizwa na maneno matamu ya kimahaba...

"Sry kwa kuchelewa lov, netwrk inasumbua sana kutuma picha"

Ndani ya dakika 2, post ya mrembo huyo ilijipatia comment kibao.Wapo waliomkejeli kwa kumwambia "Asante love" huku wengine wakimpa matusi ya nguoni....

Dakika chache baadaye, picha iliondolewa na akaifunga account yake....

Hili ni fundisho kwa dada zetu wasiojua thamani ya miili yao....

Kwa nini ujianike uchi wakati hata mitandao ya kijamii hujui kuitumia??

Click HAPA kuone hiyo Picha

No comments:

Post a Comment