Tuesday, August 13, 2013

HII SASA MBONA NI AIBU JAMANI, KILICHOBAKIA NI KUTEMBEA MTUPU ILI KUONGEZA UMAARUFU.

Mtangazi wa moja ya kituo cha luninga na redio hapa
nchini, Loveness Diva akidaiwa kupiga picha zinazomusonyesha maumbile yake ya siri na kaweka katika mtandao jambo ambalo ni aibu hasa kwa mtu kama yeye 

ambaye ni kioo cha jamii ambaye anapaswa kukemea maovu na vitendo vya kuvunja maadili ya mtanzania kupitia taaluma yake.
Loveness Love katika kipindi cha Ala za Roho.



Kupitia account yake ya instagram, jana Diva alitupia 
picha ya paja lake na kuwaacha mashabiki wake 
wafunguke kama paja lake ni zuri au baya....

No comments:

Post a Comment