Friday, September 20, 2013

HUU NI USHAHIDI KUWA AGNESS MASOGANGE YUKO HURU ..AMEPOST PICHA HIZI ASUBUHI HII
Picha hizi Amezipiga akiwa Gym leo asubuhi zinazidi kutoa ushahidi kuwa yupo Mtaani ...au jela za South Mambo ndio hivi ? We unasemaje?