Sunday, September 29, 2013

MH. RAIS AKUTANA VIONGOZI KWA NYCT

Juu na chini Mh. Rais Jakaya Kikwete akiingia sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kukutana na viongozi wa NYTC, Rais alipata fulsa ya kukutana na viongozi wapya wa Jumuiya ya watanzania New York, Viongozi hao walichaguliwa hivi karibuni na kuongea machache juu ya mstakabari wa maendeleo ya nchi ya Tanzania. Mh aliulizwa maswali mawili matatu na aliyajibu.
Mh akisalimia na watanzania hapa ni Mchungaji mama Butiku
Makamu katibu Dr Mariam akisalimia na Mh Rais Kikwete
Na baada ya kusalimie alikaa chini na kuanza kuongea na kutoa nafasi ya maswali na kujibu
Watanzania wakimsikiliza Mh Rais alivyokuwa anaongea upande wa kushoto wa rais ni Balozi Mwinyi na Katibu wa Jumuiya New York bwana Mhella.
Kikaa kiliendelea kwa viongozi kwa jumuiya kujitambulisha kwa rais
Mh. Rais Kikwete akijibu maswali aliyo ulizwa na watanzania
Kila mmoja alilizika na swali alilo uliza kwa Mh, alijibu na kutoa maelezo pale patapo itajika ufafanuzi juu ya swali hilo.
Baada ya kumaliza maongezi na lunch hiyo Mh. Rais alitoa fulsa ya kupata ukodak kama kumbukumbu
Na hapa Mh. Rais akitoka sehem ya Lunch na kuelekea sehem ya kupata ukodak wa kumbukumbu, Pembeni kamata wa matukio Zavara akimsindikiza Mh kwa camera, Kwa Picha Taswira zaidi bofya soma zaidi.
Mh. Balozi Manongi kushoto na katikati ni Mh Rais na Balozi Mwinyi wakipata ukodak na Rais Jakaya Kikwete.