Thursday, September 12, 2013

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NCHINI BRAZIL

Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya 
nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.