Tuesday, September 10, 2013

NINI KINASABABISHA GIRLS KUTOKWA NA UTANDO MWEUPE WAKATI WA KU-DO


Wakuu hodi humu,

Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?