Friday, September 20, 2013

UKIMYA WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA UNAMAANISHA NINI?

Takribani toka taifa linazaliwa tumekuwa tunaona mawaziri wakuu wakichapa kazi za kukumbukwa kama alivyo kuwa nyerere, sokoine, hata lowassa, wakiwa mstali wa mbele kutatua kero lukuki za wananchi bila kujali kuchukiwa na watu baadhi. Mzee pinda mbona kimyaaa saana tunamwona akichapia kidogo tu.

akiandamwa na magazeti, kimyaaaa mzee pinda hatu waziri mkuu mwingine hebu toa cheche! Weka siku saba vinara wa madawa ya kurevya wajisalimishe, weka sikusaba vinara wa ugaidi huko zanzibar wajisalimishe, weka siku saba vinara walaji wa mashirika ya umma wajiuzu.

Source:Jamii Forums