Friday, September 6, 2013

WAANDISHI WANNE WAJERUHIWA KATIKA MSAFARA WA WABUNGE KARATU JANA

Baadhi ya waandishi wa habari wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kutokea ajali ya gari walilokuwa wamepanda katika msafara wa wabunge waliokuwa safarini kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro jana ambalo lilipindua eneo la Karatu na kuwajeruhi waandishi wanne ambao walipelekwa kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Karatu.


Baadhi yao wakipatiwa huduma ya kwanza wakipepewa baada ya ajali hiyo.
Hili ndilo gari walilokuwa wamepanda waandishi hao...

No comments:

Post a Comment