Tuesday, October 8, 2013

AVRIL AOMBA MSAMAHA KWA KUPIGA PICHA NA MUME WA MTU ..BAADA YA PICHA KULETA MANENO MENGI ONLINE

Picha ambayo aliiweka Avril Mtandaoni akiwa amepiga na mtangazaji wa Radio ya Q FM Rashid Abdalah ambaye ni mume wa Lulu Hassan Mtangazaji wa Citizen TV ilileta Utata Baada ya Mashabiki wake kuanza kusema hao wawili wana Uhusiano wa tofauti na kazi...