Sunday, November 17, 2013

CHEKII HII BIRTHDAY PARTY YA NELLY ILIYOFANYIKA HUKO L.A

Birthday Party ya Nelly ilivyojili L.A hivi karibuni...........!!
Mnyamwezi Nelly kulia akisogezewa keki ya birthday yake ya 35 aliyofanyiwa na watu wake wa karibu wakiongozwa na Ford Flex huko Pallazo Hotel, Las Vegas mwishoni mwa wiki iliyopita.
J.D na majamaa wengine wa ATL walikuwepo kusababisha
full mizuka
J.D akiparl na madem wa ATL