Thursday, November 7, 2013

JINI MAHABA LINANIFANYA VIZURI MPAKA SASA SIHITAJI MWANAUME KABISA.

Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ?