Tuesday, November 19, 2013

KOCHA MATOLA ANAPOPOKEA USHAURI WA BOSI WAKE AKIPATA KITU CHA FEGI


Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' kushoto akimshauri mambo Kocha Mkuu wa timu ya vijana ya Simba, Suleiman Matola 'Veron' anayevuta sigara wakati wa mapumziko jana katika mchezo baina ya timu hiyo na JKT Oljoro, michuano ya timu za vijana za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la Uhai, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.