Tuesday, November 19, 2013

UHURU DAY WA TANZANIA TAREHE 7 DEC KARIBU

Watu wote mnakaribishwa siku hii ya uhuru kutakuwa na vyakula, vinywaji music na mambo mengi ya kuchangamsha. Unachotakiwa ni kulipa 30$ tu mlangoni njoo tusherekehe siku yetu watanzania kufika kwenu ndiyo mafanikio ya sherehe hii. Sherehe zitaanza saa 11 na nusu jioni njoo mapema uwahi meza yako, usije kula chakula na kunywa ukiwa umesimama chakula kikakimbilia miguuni na ukashindwa kucheza music. Ma DJ wetu bora watatuchezesha mwendo ndombolo na rusha roho hadi kukuche, (Dress to Impress) Wote mnakaribishwa.
 Address
 Claudio's Cafe II,
 32-23 37th Avenue. 
Astoria, NY 11101